Saturday 15 April 2017

Mr. Seed Kumbe Kumbe ft. Bahati lyrics

Mr. Seed Kumbe Kumbe ft. Bahati

(Intro)
Mr. Seed eeh na Bahati Bahati tena
EMB records
(Hook)
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa

Mr. Seed
Wacha niwashow oh-oh-ohh
Kwa yesu ni raha, namwita papa God oh-ooh
Niliokoka wakacheka oh-ho-ho
Wakanipa wiki sasa ni more-oh-ho
Nilizaliwa Huruma na place nimefika ni neema na huruma
Sasa ni huduma kwa yesu kuna raha, nakatika na chuchuma
Nilizaliwa Huruma na place nimefika ni neema na huruma
Sasa ni huduma kwa yesu kuna raha, nakatika na chuchuma

(Hook)
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa

Bahati
Hakuna hangover, ni raha bila gharama
Labda turuke kesha ama kulala salama
Yesu asifiwe hadi Darisalama
Hapa tu ni baraka hatutaki laana
Si ni wachanganio
Na tunataka rahanio
Tusiharibu matarajio
Turaha za shetani ni mashakanio
Si ni wachanganio
Na tunataka rahanio
Tusiharibu matarajio
Turaha za shetani ni mashakanio
Nilizaliwa Huruma na place nimefika ni neema na huruma
Sasa ni huduma kwa yesu kuna raha, nakatika na chuchuma

(Hook)
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa

(Outro)
Si ni wachanganio
Na tunataka rahanio
Tusiharibu matarajio
Turaha za shetani ni mashakanio
Si ni wachanganio
Na tunataka rahanio
Tusiharibu matarajio
Turaha za shetani ni mashakanio
Nilizaliwa Huruma na place nimefika ni neema na huruma
Sasa ni huduma kwa yesu kuna raha ,nakatika na chuchuma
Nilizaliwa Huruma na place nimefika ni neema na huruma
Sasa ni huduma kwa yesu kuna raha ,nakatika na chuchuma
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe kumbe kumbe eeh
Kwa yesu ni raha-ha-ha
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa
Kumbe kumbe ni raha ni raha-haaa
Kwa yesu ni raha-haa
Kwa yesu ni raha-haa
Kumbe kumbe ni raha ni raha-ha-ha