Saturday, 17 June 2017

NYASHINSKI AMINIA LYRICS



NYASHINSKI
AMINIA
INTRO
Yeh, niko hapa kuwapa mziki mzuri
Wako hapa kuwa famous
Ama juu waliskia marapper hupendwa na madem bas
Wanajiita lyricist, huwezi interview
Mimi tu nmetoa lyric video kaita million views up
Yeh, Ni shinski
Cedo yeh!
VERSE ONE
(NYASHINSKI VOCALS-NAMELESS LIP SYNC)
Eti nyashi area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia ulaya
Umerudi wasaanii wakaanza kuambiwa waretire
Secular lakini unaandika gospel fire
NYASHINSKI
Si live a lie
Najua ntasound ni kaa nko madre
But juzi walahi, nilipanda matatu na tray
Na siuzi mayai
Nimetoka mbali aise, na siishi Rongai
True story!!!
Klepto si mtarudiana lakini?
Hatujaiachana tunarudiana kwa nini
Na majaliwa inshallah mi na hao vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndo teacher
Enyewe maze wataacha lini kujichocha
Juu ni clear tukisimama na hao nyi mnaniprefer
It’s clear Aminia!
HOOK
Oh na na na na na, Aminia
Oh na na na na na eh, Aminia
Oh na na na na na, Aminia
Oh na na na na na eh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
VERSE TWO
Kuna tenje yangu flani heri ibaki mteja tu
Au nikitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favor tu
Kila conversatiaon ni kaa dejavu
Maisha imejaa na watu fake si uwongo
Na visu za kunidunga nikiwageuzia mgongo
Washasense nakafunga so wananyemelea
Sieziafford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadam mimi
Naeka Imani kwa God si kwa sanam mimi
uh! kaa sikupendi sikufichi
No pretending, hata simu zenu mi sishiki
Nikuwe pissed kwa nini
Siko pissed niamini
Mi nko pia
Nago through vitu real kaa nyinyi, mimi nko pia
Maybe tuargue beats au gear
Hatuweziargue iko rapper anatoa hits kaa mimi
Aminia
HOOK
Oh na na na na na, Aminia
Oh na na na na na eh, Aminia
Oh na na na na na, Aminia
Oh na na na na na eh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
VERSE THREE
Philosophy yangu ni don’t worry
Chema chajiuza
Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
Nikianza hii kitu ni watu wafew waliamini
Nabii akose heshima ispokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Nabii akose heshima ispokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu nishaiuliza kaa anapenda rap
Akaniambia ako 50/50
Yeh, kila mtu anaconsider kuingia kwa hii biz ya mziki
But ameambiwa ati mziki hailipi
Kaa uko hapa juu ni passion basi si kazi hata
 Kaa we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa
Hii ni ya msanii ule anahangaika na gitaa anaimbaia producer
Anapendelea hata kaa anajua hata hajalipwa
Hii ni ya mtoi yeyote ako na dream
Siku moja joh ni we wataita king
Ukiona umepanda stage na umeshika
Usiwaisahau mahali umetoka juu umefika
Aminia
OUTRO
Sichoki sichoki sichoki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi, Aminia
Naezaflow hao wengine hawatoshi, Aminia
Aminia Aminia Aminia, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Ah ah ah ah ah yeh, Aminia
Oh na na na, Aminia